Skip to content

Instantly share code, notes, and snippets.

@bigarabuza
Last active September 6, 2021 18:53
Show Gist options
  • Save bigarabuza/8c934733abecb35d030c46014dca27c1 to your computer and use it in GitHub Desktop.
Save bigarabuza/8c934733abecb35d030c46014dca27c1 to your computer and use it in GitHub Desktop.
Maelekezo ya kuunganisha huduma ya Smile

Maelekezo ya Kuunganisha Huduma ya Smile

Unganisha Router ya MiFi kwenye mtandao:

  • Unaweza kupata mwongozo wa MiFi router kuanzia ukurasa wa nne kwenye document hii.
  • Hakikisha kukumbuka jina la mtandao (SSID) na password.
  • Tutahitaji kuwezesha static IP address. Nitakupigia kwani sina uhakika settings za Smile zikoje kuiwezesha.

Unganisha RaspberryPi kwenya mtandao:

  • Tumia waya ya HDMI kuunganisha RaspberryPi na TV.
  • Uunganisha keyboard inayotumia USB kwenye RaspberryPi halafu chomeka RaspberryPi kwenye umeme.
  • Screen ya login ikishajitokeza, ingiza:
    • Username: pi
    • Password: nitakutumia kwenye WhatsApp
  • Ukishaingia kwenye akaunti, fuata ya maelekezo kuunganisha kwenya mtandao Ref:
    • Chapa sudo raspi-config
    • Bonyeza mshale wa kwenda chini (↓) hadi ufika kwenye Localisation Options halafu WLAN Country halafu chagua TZ. (Kutoka kwenye screen bonyeze mshale wa kulia (→), kwenda kwenye option ya Finish
    • Ukisha maliza hapo rudi kwenye screen ya kwanza halafu iingia kwenye Sytem Options.
    • Chagua Wireless LAN. Hapa ndo utakapo ingiza jina la WiFi (SSID) na password.
    • Ukisha exit, unaweza kutest kama RaspberryPi imeunagishwa kwenye intaneti kama ifuwatavyo:
      • Chapa iwgetid. Ikionyesha jina la mtandao, umefanikiwa!
Sign up for free to join this conversation on GitHub. Already have an account? Sign in to comment